Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Nilikua naperuzi jf sindio inaingia sms saa 16:47 ikiniambia nimebakiwa na mb 2? Hivyo nijiunge kifurushi kinachoniaa
Baada ya dk 2 yaani 16:49 inaingia sms nyingine baada ya dk 2 hiyo ikiniambia nimezawadiwa mb10 baada ya kutumia sh 500 kuperuzi haa! Si ndio nashangaa yani zile mb 2 zimeisha kwa dk 2 kuoeruzi jf? No
Cha ajabu hizo mb 10 walizonipa ninaperuzi mpaka sasa dk 20 bado nina mb 8 yani nimetumia mb 2 tu
Huu ni wizi zaidi ya ujambazi