Tigo ni buree kabsaa....nilifanyaga makeke kwenye simu yangu nikawa naitaji Puk...kuwapigia wananiuliza maswali kibao.....mwisho muhafaka ni kufika oficni kwao,kufika naambiwa line ni mbovu lazima kuirenew na wakashindwa kutekekeleza hilo....Mungu bariki nikafanikiwa pata hiyo PUK kwenye makbrasha yangu....hawa jamaa vilaza kinoma.