ivi kwann Gwajima asijenge nyumba ya kuabudia?
anao waumini wangapi? kanini asiweke mchango wa jengo akajenga jengo la kuabudia?
sioni mantiki ya yeye kumiliki chopa wakati wanasali nje juani.
makanisa hata madogo yanamili majengo why not yeye? amekosa kiwanja manake naamini hata akienda kutafuta kiwanja cha kujenga majimatitu bado atapata waumini kwasababu watu bado wana kubali kuchungwa nae so ajenge kanisa
Anaogopa kula mtaji gfsonwin
ni shida sana pale waumini mnapokubali kuchungwa na mtu asiyejali ustawi wenu.
ivi kwann Mungu alimwambia Daudi amjengee hekalu?
alaichoka kukaa kwenye madhabahu ambazo zilikuwa zinachanganywa na miungu mingine akataka kukaa kwenye hekalu lake yeye peke yake ambamo hatachanganywa na miungu ya kigeni.
you knw what?? baada ya hekalu kujengwa Roho wa Mungu alishuka ndnai yake na utukufu wake ukaa humo.
sasa pale TP hivi utukufu wa Mungu unashuka wapi? viwanja ambavyo leo bonanza kesho ibada? viwanja ambavyo usiku watu wanawanga humo na kujenga madhanbahu zao mchana mnaabudu?
Gwajima alitafakari hili kwa undani zaid
mie navojua hata akijenga majimatitu, ama atapata waumini na watu watakwenda tena kwa imani.Mwl gfsonwin! Nami nimekuwa nikijiuliza maswali kama yako kuhusu huduma ya Ngwajima! Maan kimsingi kujenga kanisa kungemsaidia sana kutulia sehemu moja maana hata hapo TP mwaka huu ataondolewa maana ni eneo la NSSF kama sio NHC.. wanataraji kuanza mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa!
Bila shaka katika hili Gwajima ana tatizo kwenye huduma yake maana ata kiafya pale si salama kwa waumini maana vumbi na jua kali..mtu anaweza kuugua akafikiri ana mapepo kumbe ni mazingira!....
Mi nafikiri hili ndio tatizo kuu la huduma ya Ngwajima maana hana makazi maalum na cha kushangaza ana magari na kila kitu lakini nashindwa kuelewa kwanini wana shindwa kununua mahekari huko nje ya mji wakajenga kanisa maana sadaka anapata za kutosha!
Na moja ya sifa ya waumu wa Ngwajima wanauwezo wa kumfata kila atakapo kwenda ..kwa hiyo hata akijenga huko nje ya mji watakwenda na uzuri wana magari ya kuwachukua waumini!
Katika hili Ngwajima ana nishangaza,pengine tutapata majibu maana waumini wake wapo humu wengi.
ivi kwann Gwajima asijenge nyumba ya kuabudia?
anao waumini wangapi? kanini asiweke mchango wa jengo akajenga jengo la kuabudia?
sioni mantiki ya yeye kumiliki chopa wakati wanasali nje juani.
makanisa hata madogo yanamili majengo why not yeye? amekosa kiwanja manake naamini hata akienda kutafuta kiwanja cha kujenga majimatitu bado atapata waumini kwasababu watu bado wana kubali kuchungwa nae so ajenge kanisa
Labda huduma yake ni ya muda mfupi siyo kama sisi tunavyodhani.
Labda huduma yake ni ya muda mfupi siyo kama sisi tunavyodhani.
mie navojua hata akijenga majimatitu, ama atapata waumini na watu watakwenda tena kwa imani.
hivi anawanyanyasa zaid waumini wake kama watoto jamani utafkiri zamani zile watu wakienda kumpokea rais anapozuru mikoani?
Gwajima wajengee waumini wako kanisa,ulimshutumu CAG kusali ktk eneo la umma huku wewe ukiendelea na ujasiriamali ktk eneo la NHC
uyo gwajima sitaki hata kumsikia demu wangu kanitema baada ya kuanza kusali kwake
Watu wana teseka sana sijui kwanini halioni hili?
Gwajima wajengee waumini wako kanisa,ulimshutumu CAG kusali ktk eneo la umma huku wewe ukiendelea na ujasiriamali ktk eneo la NHC
hata kuwawekea maturubai yanayo hamishika hajafikilia watu wanapata tabu sana.. pole zao waumini
Haya mambo ya imani haya, mmmmhhhh kazi ipo.
Hapo Gwajima na watu wake wamekaa kivulini wenzao wamewakalisha juani na kuwaanbia toeni sadaka. Daaahhh, mchungaji huyuuuuuu.......