Ramadhani Salumu
Member
- Feb 21, 2015
- 28
- 41
ivi kwann Gwajima asijenge nyumba ya kuabudia?
anao waumini wangapi? kanini asiweke mchango wa jengo akajenga jengo la kuabudia?
sioni mantiki ya yeye kumiliki chopa wakati wanasali nje juani.
makanisa hata madogo yanamili majengo why not yeye? amekosa kiwanja manake naamini hata akienda kutafuta kiwanja cha kujenga majimatitu bado atapata waumini kwasababu watu bado wana kubali kuchungwa nae so ajenge kanisa
Kwani gwajima hilo ni eneo lake?
Kwani gwajima hilo ni eneo lake?
Kwani mleta maada kaongelea eneo
KwikwikwiHahahahahahhahahahahahah wote ni wafanya biashara. Waache wapeane support
ivi kwann Gwajima asijenge nyumba ya kuabudia?
anao waumini wangapi? kanini asiweke mchango wa jengo akajenga jengo la kuabudia?
sioni mantiki ya yeye kumiliki chopa wakati wanasali nje juani.
makanisa hata madogo yanamili majengo why not yeye? amekosa kiwanja manake naamini hata akienda kutafuta kiwanja cha kujenga majimatitu bado atapata waumini kwasababu watu bado wana kubali kuchungwa nae so ajenge kanisa
View attachment 234803
Leo katika pitapita zetu tulipita karibu na viwanja vya Tanganyika Packers-Kawe penye ibaada za Gwajima, mbali na idadi ya maelfu ya watu lakini miamvuli mikubwa ya TIGO Ilionekana kujaa kwenye viwanja hivi.. Mnyonge mnyongeni lakini nadhani haki kidogo mpeni.. Nadhani hii ni Kampeni kubwa kwa Kampuni ya simu -TIGO.. walione hili wamlipe huyu maalim Gwajima kwa kuwatangazia soko lao🎉
View attachment 234805
Ni vyema kufanya research ya jambo ili ukiliongelea linakuwa na hoja nzuri. Umesema umepita, nilidhani umeshuka hapo na kuongea na Gwajima au msaidizi wake akakupa maelezo ya kina maana umeshatoa hukumu yako kwamba mnyonye mnyongeni bila tathmini. Tunaomba uende hapo ukawaulize kwamba hiyo miamvuli wameipata wapi? Terms of agreement kama zipo na je waliombwa na tigo watangaze halafu hawalipwi na kama kuna mazingira yeyote yaliyopo hapo ndio tunaweza jadili kwa kina. Nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums