Pengine uliwasha data mkuu?
Hapa wengi tutumiawo SP huwa tunajisahau sana pindi tuongezapo salio.
Binafsi sinunuagi tena vocha; airtime naifanya electronically, nafanya kama alivyo sema mleta uzi; kwa tigo natumia tigo pesa, Voda kwa mpesa nk; nikitaka kujiunga bando then naiunga ju kwa ju, sema tiGo huwezi jiunga bando la mwezi kwa tiGo pesa, nimegundua mitandao mingi tu, simu ikiwa na balance (airtime) wana kata tu so dawa ni moja, balance isome either 0 au less than Tsh 10, hapo hawana cha kukata
Halafu nadhani tiGo pia ni very expensive to operate with them though voda nao miyeyusho mingi, airtel walau wanajitahidi na hata bei zao zipo so reasonable kulinganisha na wengi.Dah itabidi nifanye ivi mana siwezi badilisha hii namba Iko kazini muda.... Ule utaratibu wa namba hii hii Ila mtandao mwingine sijui uliishia wapi ... Nitawahama kwa super sonic speed ..!