Tigo kwanini kujiunga kifurushi cha chuo inasumbua kwa sim za smart?

mrxho

Member
Jan 17, 2017
61
13
Apo awali ilikua unauwezo wa kutumia dakika moja au mbili lakini sasa utaangaika mpaka basi.

Kujiunga uduma za University offer unaambiwa eneo si rasmi mpaka uamishe laini kwenye simu isiyokua smart ndio fasta ukubali.

Shida ni nini wahusika wa tigo au mwenye kujua atusaidie nazungumzia zile laini zisizokua rasmi kwa chuo.
 
>>>>Duh... Kama na wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu naungana na Serikali kusitisha ajira...

Huu uandishi wako ni mwanafunzi wa darasa la Tatu C....
 
apo awali ilikua unauwezo wa kutumia dakika moja au mbili lakini xaxa utaangaika mpaka basi

kujiunga uduma za University offer unaambiwa eneo si rasmi mpaka uamishe laini kwenye sim isiyokua smart ndio fasta ukubali

shida nn wahusika watigo au mwenye kujua atusaidie nazungumzia zile laini zisizokua rasmi kwa chuo
Bila shaka ww sio mwanachuo, Tigo wamekushtukia
 
>>>>Duh... Kama na wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu naungana na Serikali kusitisha ajira...

Huu uandishi wako ni mwanafunzi wa darasa la Tatu C....
utoto unakusumbua
si kosa lako!
 
>>>>Duh... Kama na wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu naungana na Serikali kusitisha ajira...

Huu uandishi wako ni mwanafunzi wa darasa la Tatu C....
Na vipi yule mwenye PHD na hajui kingereza?
 
Back
Top Bottom