Tigo kwaherini

Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.

Mungu awalinde
Yani ckumbuki line yangu Tigo ipo wap na cna mpango tena wa ku2mia Tgo kwa ubwege wao wanaotufanyia..Voda na Halotel ni tosha kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…