Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao wenu.
Na wenzangu wanaokerwa na Tigo naomba tuususie huu mtandao ili wajifunze kuheshimu wateja.
Mkuu inavyoonekana wewe ni mwenyeji kwenye jumba hili la JF. Lakini binafsi nahisi kama siwezi kuungana na wewe ktk kuwalaani hao tigo, kwa sababu wewe ni mbishi. Kwa maneno mengine wewe ni Tomaso, ni mpaka uguse ndipo uamini.
Na sasa umegusa nadhani sasa utaamini.
Mwanzoni mwa mwezi uliopita Wadau tukikubaliana humu ndani(JF) kuachana kabisa na hawa tigo hadi watakapojirekebisha.Baada ya siku kadhaa wakatangaza offer ya nyongeza ya muda wa maongezi waliokuwa wamestitsha.
Je, hukuamini walichokuwa wakilalamikia wanajamii? Je, wewe ni miongoni mwa wasaliti wachache walioendelea kutumia tigo?
msaliti huyu ..hawa ndio walimuingiza jk ikulu mwaka 2010
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao wenu.
Na wenzangu wanaokerwa na Tigo naomba tuususie huu mtandao ili wajifunze kuheshimu wateja.
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao wenu.
Na wenzangu wanaokerwa na Tigo naomba tuususie huu mtandao ili wajifunze kuheshimu wateja.
Sio kila mtu aliisoma hiyo thread ya kuwa ban TIGO....Mtu anapokuja na kitu msaidieni sio kukimbilia kulaumu...nyie vipi?????Mimi huwa nashangaa watu wengine, hili jambo tulilijadili kwa kina humu ndani, na wanajamii kwa kauli moja tulikubaliana kuwa ban hao tigo. Ni kituko cha mwaka mtu kurudi hapa kulalamika eti ameibiwa na tigo. He can't be serious.
Mimi huwa nashangaa watu wengine, hili jambo tulilijadili kwa kina humu ndani, na wanajamii kwa kauli moja tulikubaliana kuwa ban hao tigo. Ni kituko cha mwaka mtu kurudi hapa kulalamika eti ameibiwa na tigo. He can't be serious.