Tigo kuna shida gani?!

Wanapaswa kuwa na business continuity plan inayoelewa sio ya kujaribu jaribu...
Mkuu unafikiri kampuni kubwa kama Tigo mpaka wanaamua kufanya upgrades kwenye mifumo hawakuwa na business continuity plan!hii mambo inazikumba mpaka kampuni kama facebook,Yahoo n.k. itakuwa Tigo?Ukumbuke saa moja tu kwao system ikiwa down wanapoteza mamilioni ya hela,kwahiyo hawawezi kuwa wazembe hivyo unavyowaza...
 
Nafahamu wanayo mkuu ni sahihi kabisa.... ila niliposikia tangu jana mpka leo that means wamepoteza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…