yeah najua wengi wamelalia kwenye Utorrent,Bitorrent na bitcomet!!
nimeona nijaribu hii kitu, kifupi ipo mzuksi balaa sema huku kwetu voda na Airtel ndo zinabamba
Hili dudu la TIXATI ni noma kwa speed niulize mimi. Nililitumia wakati navuta Windows 8 pro yaani linapiga mzigo kinoma. Tatizo letu wabongo tuna ushabiki wa vitu tu ila Tixati mwache tu