Wajameni naombeni mnisaidie maana kuna siku nilikuwa najaribu kuunga internet kwenye simu ya mtu sasa nikajaribu kwanza kuunga kwnye simu yangu ya nokia 6233 kwa kutumia ile njia ya kupia *148*01# na kisha kuchagua kifurushi na kufanikiwa...sasa KERO inakuja tangu siku ile yaani KILA siku wananiuunga bila mi kutaka na kunikta hela yangu...naombeni mnisaidie najitoa vipi katika shida hii!!