C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Nov 9, 2020 #1 Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu
Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Nov 9, 2020 #2 Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo
Strong Side Senior Member Joined Sep 17, 2019 Posts 190 Reaction score 308 Nov 9, 2020 #3 Elungata said: Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo Click to expand... Halotel wezi wa data hawafai
Elungata said: Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo Click to expand... Halotel wezi wa data hawafai
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,972 Reaction score 69,352 Nov 9, 2020 #4 Internet Imezimwa
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 Nov 9, 2020 #5 Kennedy said: Internet Imezimwa Click to expand... Haya mambo tulikua tunayaona kwenye tiivii kule Korea kaskazini, Zimbabwe, Venezuela, Urusi, China na. Failed state nyingine na Gabon. Sasa imekua hapa hapa
Kennedy said: Internet Imezimwa Click to expand... Haya mambo tulikua tunayaona kwenye tiivii kule Korea kaskazini, Zimbabwe, Venezuela, Urusi, China na. Failed state nyingine na Gabon. Sasa imekua hapa hapa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,972 Reaction score 69,352 Nov 9, 2020 #6 Deceiver said: Haya mambo tulikua tunayaona kwenye tiivii kule Korea kaskazini, Zimbabwe na Gabon. Sasa imekua balaa Click to expand... Sasa Ndiyo Imefika Pepsi Mpaka Basi 😂😁😁 Pepsi Ml 100 Zaidi 😑🤨😶😏
Deceiver said: Haya mambo tulikua tunayaona kwenye tiivii kule Korea kaskazini, Zimbabwe na Gabon. Sasa imekua balaa Click to expand... Sasa Ndiyo Imefika Pepsi Mpaka Basi 😂😁😁 Pepsi Ml 100 Zaidi 😑🤨😶😏
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,508 Reaction score 94,623 Nov 9, 2020 #7 Unaishi nchi gani?
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Nov 9, 2020 Thread starter #8 Dilek said: Unaishi nchi gani? Click to expand... Naishi Tanzania
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Nov 9, 2020 Thread starter #9 Kennedy said: Internet Imezimwa Click to expand... Lakini ya voda inapatikana
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Nov 9, 2020 Thread starter #10 Elungata said: Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo Click to expand... Halotel kwa huku nilipo inasumbua sana ndio maana situmii Ila voda iko poa, tatizo ni hawa tigo
Elungata said: Hamia halotel,,tigo,voda saa hivi mitandao haishiki,,uchakavu wa mitambo Click to expand... Halotel kwa huku nilipo inasumbua sana ndio maana situmii Ila voda iko poa, tatizo ni hawa tigo
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,508 Reaction score 94,623 Nov 9, 2020 #11 Ulisikia Wapi said: Naishi Tanzania Click to expand... Haya
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Nov 9, 2020 Thread starter #12 Daudi Mchambuzi said: Shida ni TCRACCM. Click to expand... Duuh
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,675 Nov 9, 2020 #13 Ulisikia Wapi said: Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia mtandao wa tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu Click to expand... Kwa hiyo siku zote ulikuwa unapata leo ndio imegoma?
Ulisikia Wapi said: Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia mtandao wa tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu Click to expand... Kwa hiyo siku zote ulikuwa unapata leo ndio imegoma?
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Nov 9, 2020 Thread starter #14 Donnie Charlie said: Kwa hiyo siku zote ulikuwa unapata leo ndio imegoma? Click to expand... Ndio nilikua napata vizuri tu
Donnie Charlie said: Kwa hiyo siku zote ulikuwa unapata leo ndio imegoma? Click to expand... Ndio nilikua napata vizuri tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,780 Reaction score 184,639 Nov 10, 2020 #15 Tumia VPN... cc: mahondaw
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,516 Reaction score 46,603 Nov 10, 2020 #16 Umeingiaje JF bila VPN