Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,087 May 25, 2012 #1 Wakuu natumia sikmu ya HTC Inspire 4G na line ya tigo, nimeweza kuwa connected, napata facebook e mail etc. tatizo siwezi kubrowse internet inakataa nimejalibu google search wapi, wataalam nisaidieni tafadhali
Wakuu natumia sikmu ya HTC Inspire 4G na line ya tigo, nimeweza kuwa connected, napata facebook e mail etc. tatizo siwezi kubrowse internet inakataa nimejalibu google search wapi, wataalam nisaidieni tafadhali
mkomatembo JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 1,477 Reaction score 819 May 25, 2012 #2 Mimi nina HTC, nilimtuma kijana akaenda Tigo wakanifanyia mambo, inabidi uende Tigo.
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,087 May 25, 2012 Thread starter #3 mkomatembo said: Mimi nina HTC, nilimtuma kijana akaenda Tigo wakanifanyia mambo, inabidi uende Tigo. Click to expand... ok mkuu tatizo la wale watu wa customer care utafikili ni customer scare siwapendi wana pozi sana sijui wanalingia nini kwa kweli.
mkomatembo said: Mimi nina HTC, nilimtuma kijana akaenda Tigo wakanifanyia mambo, inabidi uende Tigo. Click to expand... ok mkuu tatizo la wale watu wa customer care utafikili ni customer scare siwapendi wana pozi sana sijui wanalingia nini kwa kweli.