Mkuu siku nyingine kama utataka kuwasiliana na customer care Airtel usipige 100 watakuzungusha mpaka mwisho mara oooh simu yako ni ya mhimu lkn kwa sasa mhudumu anaongea na simu nyingine mara vile. Tumia hii namba 0784105400 hii nayo ni namaba ya customer care ya Airtel, ukipiga ni fasta anapokea mtu hapo hapo bila kulemba. Ni na hukatwi chochote but it is unfortunately hawaidsclose kwa watu kwa sababu ni namba ya corporate customer care