Tigo ina shida gani jamani?

Tigo ina shida gani jamani?

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,982
Au ni huku kwetu Uswailini tu! No data running, simu hazitoki, mara emergency call.

Tigo mtandao unawashinda huu.
 
Yan tangu mchana aiseeeeee,wanataka kuvunja ndoa zetu hawa watu kwa kwel!hawapo serious kabsa
 
Halafu wanaiba dakika za vifurushi vyao.
 
Me nimeamia holatel ni raha tupu huku akuna wiz Wa miatano miatano Sijui Wa bongo wenzangu awajapewa vitengo
 
nadhani kuna kitu maana almost walikuwa off line karibu nchi nzima watu hatupatikan1 wachumba wanahisi tuko michepukoni kwa kuto kupatikana!
 
Hawa tigo kweli tigo,nimetuma sms lakini hivyo vi dakika kumi hakuna Pambaf
 
Mi nisha vunja laini yao maana ata kwenye net wapo slow sana
 
Kimbia huko haraka....hamia HALOTEL duh HSDPA+ hadi kijiji hakuna cha nini wala nani
 
Wameshavuna pesa nyingi ndo maana wanalinga toka wanaitwa buzz ni bomba mpaka leo.
 
Back
Top Bottom