Mashaka yamenikumba kuhusu mtandao wa simu wa Tigo. Tumetapeliwa hela zetu (1,000,000 kila mtu) baada ya kuomba uwakala wa tigo miezi takriban 6 sasa, hatujapatiwa huduma hiyo (lines, tigo-pesa) wala kurejeshewa hela zetu.
Wananchi kuweni macho na kampuni ya tigo kwa sasa mnawezakulia kama sisi. Bwana Ali alidai yeye ni super-agent wa tigo akatukomba pesa zetu kwa ahadi kuwa atatupatia uwakala wa tigo.
Kama tigo wapo si wawasaidie wateja wao wasitapeliwe, kwani Tigo hawamjui huyo bwana Ali?