Tigo ideos for sale!

Tigo ideos for sale!

asiel26

New Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
4
Reaction score
0
jamani nina tigo ideos unlocked n still in gud condition. iko na earphones zake, charger na extra cover ya blue. bei 150 mwenyewe kuhitaji tuwasiliane.
 
hazitolewi bure bro. if so kwanini niuze coz kila mtu angeenda kujichukulia yake MIC. bro wa mia panda kidogo
 
Wakuu, naomba anayeweza ku unlock IDEOS ya tigo atupe maujanja mana ninayo ila sijajua maujanja hayo...!!!!
 
Nilinunua Huawei U8150 IDEOS na simply by using DC-unlocka mambo shwari nabang kotekote!!
>>so kama model yako ni sawa na yangu Get On it n follow me
 
Wewe acha usenge humu ndani sio sehemu ya kutangazia biashara ni sehemu ya kutoa hoja na fikra zilizopevuka ili tuweze kulikomboa taifa letu. Ukitaka kutangaza biashara yako nenda facebook. Common usije ukarudia tena maana ntakuporomoshea mvua ya matusi. Koma kabisaaa!
jamani nina tigo ideos unlocked n still in gud condition. Iko na earphones zake, charger na extra cover ya blue. Bei 150 mwenyewe kuhitaji tuwasiliane.
 
Nilinunua Huawei U8150 IDEOS na simply by using DC-unlocka mambo shwari nabang kotekote!!
>>so kama model yako ni sawa na yangu Get On it n follow me

mbona ilikua inataka ununue credit /tokens
 
Wewe acha usenge humu ndani sio sehemu ya kutangazia biashara ni sehemu ya kutoa hoja na fikra zilizopevuka ili tuweze kulikomboa taifa letu. Ukitaka kutangaza biashara yako nenda facebook. Common usije ukarudia tena maana ntakuporomoshea mvua ya matusi. Koma kabisaaa!

Oya We Mwanangu Hujui Soma Nin.. Getbak uone Uko rum Gan .. This Is a rum 4 Matangazo .. Usiwe lugaluga wa Kutukana bila ya Kujua Unafanyaje..
 
ulikoamkia leo duh!
 
Oya We Mwanangu Hujui Soma Nin.. Getbak uone Uko rum Gan .. This Is a rum 4 Matangazo .. Usiwe lugaluga wa Kutukana bila ya Kujua Unafanyaje..

Huyo masopakyindi1 hana akili ajui yupo Room Gani anafikiri matusi yanaua kama ndo ivyo jf watampa Award watu wengine wana mtindio wa ubongo.
 
Kuna mijitu inajiunga jf ikiwa tayari migonjwa ya stress /depression. Hata sikuona kisa cha kutukana...na kama kipo itakuwa mibange!
 
Huyo masopakyindi1 hana akili ajui yupo Room Gani anafikiri matusi yanaua kama ndo ivyo jf watampa Award watu wengine wana mtindio wa ubongo.

callist kama ulikuwa ndani ya mawazo yangu. Anyway msameheni mgonjwa wetu.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine wapo kwa ajiri ya kuhalibu post za wenzao sasa badala ya kujadili simu tuna mjadili ye ye isi toshe mtu mwenyewe ni mtu wa kikubwa kabisa acha izo mwenzio auze mana si watu wote tuna oingia hapa kwamba tuna laptop mi nafikili una tumia simu ya kichina maana simu ya kichina ina fungua baazi ya mafaili ya hapa jf na jua utanielewa we mwehu wa matusi
 
Back
Top Bottom