Usijaribu kujichanganya kwenye "unlimited" internet package za tigo utajuta. Wanakulimit kwenye kiwango cha ku download,kikiisha hata hiyo browsing ni majana hiyo speed. Na utatumia hiyo speed hadi mwisho wa kifurushi, otherwise subscribe new package.
Hiyo ya dashboard co kitu kwa tigo inaweza soma 4mbps halaf real dowload unakuta inacheza 300-400 wakati voda ikisoma hata 2mbps speed inacheza 700-800
Hiyo ya dashboard co kitu kwa tigo inaweza soma 4mbps halaf real dowload unakuta inacheza 300-400 wakati voda ikisoma hata 2mbps speed inacheza 700-800
Kitu 6Mbps hicho Mpaka raha I see!!!
Tatizo ukifika mda wa mabundi huku kwetu lazima uhamie Tigo maana mabundi wengi wanakamua bandwith hivyo hata kupata 3Mbps shughuli.