Kakati Senior Member Joined Apr 11, 2009 Posts 167 Reaction score 47 Jun 7, 2012 #1 Ndugu zangu, nimejiwekea ka sh 450 kangu kwenye tigo ili nipate 50MB, dk 15 za maongezi na sms 100. Sasa nisaidiwe tafadhali najuaje salio kwa kila moja kati ya hizi huduma nikiwa nimetumia kwa muda kidogo?
Ndugu zangu, nimejiwekea ka sh 450 kangu kwenye tigo ili nipate 50MB, dk 15 za maongezi na sms 100. Sasa nisaidiwe tafadhali najuaje salio kwa kila moja kati ya hizi huduma nikiwa nimetumia kwa muda kidogo?
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,858 Jun 7, 2012 #2 Angalia salio kwa njia ya kawaida kisha utatumiwa sms kukujulisha salio la kifurushi, muda wa nyongeza uliobaki na salio la sms.
Angalia salio kwa njia ya kawaida kisha utatumiwa sms kukujulisha salio la kifurushi, muda wa nyongeza uliobaki na salio la sms.
Kakati Senior Member Joined Apr 11, 2009 Posts 167 Reaction score 47 Jun 7, 2012 Thread starter #3 salio kwa njia ya kawaida unamaanisha nipige *102#, mbona sipati ujumbe unaosema?
S SEKIETE Member Joined Nov 3, 2010 Posts 9 Reaction score 1 Jun 7, 2012 #4 *102# then ok itakuonyesha salio lako la sms,mb na dk