Mnaionea halotel bure hiyo ndio spidi yangu ya kila siku tena tabata ndani ndani huku mnara upo mbali kichizi, yani kwa kitaaa kwetu inapishana na Tigo 4g 7mbps tu..
Nahisi subscribers wa halotel hapa dar ni wengi kuzid uwezo wa vifaa vyao. Kipindi wanaanza hawakuwa hivi..
Mitandao yote hapa kwetu huwa nawaaminia voda tu
Binafsi nipo mkoa tena kusini kabisa mwa Tanzania. Nimejaribu mitandao yote iliyopo huku na kimsingi halotel wapo juu ukiwatoa TTCL, sababu hakuna mtandao utakaokupa uwezo wa kustream bila kustack hasa nyakati za mchana isipokua Hao jamaa.