Tido Mhando ni kada wa CCM?

Hahahahaha naona itakuwa Lowasa kabanwa pole sana Leo Tido juzi ilikuwa Mahela na mwezi uliopita ilikuwa Salim ki keke! Kwanini mnapenda kulia lia?
 
Exit yake TBC ilikuwa ya maumivu na fedheha sana, kwa hali ya sasa hivi anahisi wanamfuatilia; Anajaribu kucheza salama kulinda maslahi ya mwajiri wake asije ku_antagonize tajiri yake na serikali ya hapa kazi tu!
Hivi Bawacha mtaacha lini kulialia?
 
Matokeo ya Lubuva sio Watanzania..period
 
Opinions pools anazoandaa J.Makamba na kuwapa Twaweza?Makamba jiandae kukatwa maana una element za kupendwa na wanachama
 
Mkuu, kama anafanya vizuri na ni kweli anafanya vizuri basi acha asifiwe tu, watanzania wote tunamsifia, naona una wivu kuona anasifiwa!
 
Kiufupi Tido alipokuja TBC Hakuwa anajua Siasa za Tanzania naona sasa anajirekebisha kuendana na siasa za CCM!
 
Nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho sikuona kama Tido alikuwa biased. Alichokifanya ni kitu cha kawaida kwenye interview za aina ile. Alimuuliza maswali ambayo wengi tungetaka kujua msimamo wa ENL. Kuna maswali ya uchokozi ambayo mwanasiasa mahiri lazima aweze kuyajibu na kama hauko sawa unaweza kupanic. Hakuna alipomuingilia au kumkomalia kwenye kujibu. Hivyo sioni ukada unakujaje.
Nilichogundua ENL ni msiri sana-anamajibu mafupi mafupi kwa maswali ambayo wengine wangefunguka zaidi. Lakini hiyo inaelekea ndio style yake. Pia si mtu wa malumbano hakutaka kuhukumu anasema watajihukumu wao wenyewe au watu watahukumu.
 
Naona imekuuma Mzee Lowasa kukili wazi Rais Magufuli anafanya kazi zake vizuri.

Kaa ukijua Lowasa siyo mnafiki kama nyie washika UKUTA wa Mbowe
 
Tido sasa uzee nao unamzidi ujue kuwa uzee nao ni factor kwenye akili ya mtu
 
Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?
Kwani hapo kosa la mleta mada lipo wapi?
 
Watangazaji/wana habari wetu wa bongo bado ni waoga sana na safari yao bado ni ngumu sana
 
Tatizo nikuwa mnataka afanye mtakavyo ninyi
Mmejengeka vibaya sana
Mtu akiisema vibaya serikali kwenu mnamuona anafaa,
Lakini akimsema mnaemtaka mnaona hafai.

Hamjampa kazi nyie hivyo muache afanye vile anavyo on a ni sawa
Mbona hatukushangai wewe kujipendekeza kwa watawala?
 
Exit yake TBC ilikuwa ya maumivu na fedheha sana, kwa hali ya sasa hivi anahisi wanamfuatilia; Anajaribu kucheza salama kulinda maslahi ya mwajiri wake asije ku_antagonize tajiri yake na serikali ya hapa kazi tu!
Na miaka ndiyo hiyo inamtupa mkono
 


so umemjaj kwa kipindi kimoja?


tido ni adui no. 1 wa ccm

ww ulitaka kusikikia utakayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…