Rawasen Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 181 Reaction score 73 May 10, 2015 #1 Jamani Jamvini Naombeni Msaada Wa Nyimbo Ya Mrembo Na Siku Kama Hizi Za TID Kwenye Album Yake Ya Kwanza Iliyotoka 2003 Nazikibula Sana Hizi Nyimbo Nimeshaenda Wapsite Nyingi Bila Mafanikio Msaada Tafadhali
Jamani Jamvini Naombeni Msaada Wa Nyimbo Ya Mrembo Na Siku Kama Hizi Za TID Kwenye Album Yake Ya Kwanza Iliyotoka 2003 Nazikibula Sana Hizi Nyimbo Nimeshaenda Wapsite Nyingi Bila Mafanikio Msaada Tafadhali
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,246 Reaction score 11,459 May 10, 2015 #2 miye naitaji nyinbo za mr paul zikizipo katika ablam yake ya kwanza jiina la ile ablam ni NDANI YA LOVE kuna nyimbo kama ndani ya love zuwena buzi nk
miye naitaji nyinbo za mr paul zikizipo katika ablam yake ya kwanza jiina la ile ablam ni NDANI YA LOVE kuna nyimbo kama ndani ya love zuwena buzi nk