Kwanza ili aende kudai haki anayo sema ni haki ahakikishe wimbo wake ulisajiliwa basata kipindi unatoka na unaonesha ni wake ...napia ahakikishe hiyo million miatano inaendana na madai yeke.
Lakini ambacho naweza sema Sidhani kama hapa kuna case lakini nahisi kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa maana najiuliza alikuwa wapi?
Halafu huo ni mkataba au article? hiyo article imeandikwa na CLOUDS fM au ni mwandishi tuu alikosea?
Nilitegemea kuona makosa ya Clouds Fm hadi sasa siyaoni..najiuliza kama Clouds FM hawakuwa na haki ya kupata malipo ilikuwaje wakalipwa na siku zote T.I.D alikaa kimya?
T.I.D aseme ni wapi Clouds wamekosea na aweke contract ili watu waone jinsi makubaliano yalivyo kiukwa....