Pombe mbaya..Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down
Duh!Kiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.
Alijaribu kutoka kwa kumdhalilisha wema,wema akajibu vibaya mzee kanywea.
Hiyo article haikuandikwa na Ruge wala makampuni yake.
Halafu duniani hakuna studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio,ni bange tu ukichanganya na unga na whisky zinaweza kumfanya mtu akafikiria na kutoa povu kama alivyofanya TID
Zama za TID zimepita,aliipata nafasi kaichezea haiwezi kurudi tena
Hiyo kesi haitachukua hata dakika 10 baada ya kusomwa itaanguka
Kibakuli tena?? OkayKiba?
Naona kimya itakuwa wamepewa Hela ndogo tuHivi AY na FA kesi yao na Tigo inaendeleaje wakuu?
tatizo la wasanii wa bongo sio wamoja halafu wanaunafiki na kujipendekeza pendekezaNaona Mangi nae kamsaidia kuwatolea povu clouds na kuwapaka wanamusic wote wa bongo kwamba ni wapumbavu , hawawezi kuishi bila clouds wakati wanauwezo wakiungana wakagoma nyimbo zao kupigwa clouds wala msanii yoyote kuhojiwa clouds , anaamini clouds wangenyooka
Huo mbona anao muda sana, hii kesi ni moja ya kesi legitimate sema tu jamaa walitaka kiasi kikubwa.
Nadhani Tigo watanegotiate kupunguza ila kesi ni mbaya kwao.
Yeye ni mmiliki wa hiyo media but sio muendeshaji, sikuzote basi likipata ajali macho yote kwa dereva na sio mmilikiHivi kusaga hua anarukaje vihunzi, kesi zote hua ni kwa ruge tu.
Hiyo inaitwa ZE NDINDI NDI SHOW....Clouds Fm watoto wa LADY JAY DEE KOMANDO...halafu wamemkataa mamaa....haya sasa mlidhani huyu nae ni mdada mumuhujumu kama Jide??...komaen na noma yenu hiyo...Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down
kisheria amepoteza!mtu kaachiliwa huru kwa kumtusi JPM,katafutwa mtu mwenye jina la JPM dunia nzima hakupatikana
Ni pirated cd hiyo,clouds hawawezi kufanya kosa la kitoto hivyoMkuu hapo TID anayo sababu ya kulalamika sababu ni jasho lake kuna watu wanafaidi, hapo kilichomshangaza ni kwamba Clouds fm wameonekana kwenye cover kama copyright holder tena hilo sio gazeti nio Cd inapatikana mpka amazon inaitwa Global Soul : Soul And R&B From Around The World link hii hapa Amazon product ASIN B00007G789
Kwani ni jarida gani hilo limeandika hivyo?
Ni pirated cd hiyo,clouds hawawezi kufanya kosa la kitoto hivyo
Bila kusahau MwanaFA & AY na tigoMilioni 500 haahaaa you can't be serious.!! Hivi kesi ya Paul James na Efm ilipotelea wapi?maana tusha choka na story za kesi zenu zisizo na kichwa wala miguu.
Wewe ndio ufanye utafiti,msaidieni basi TID awahi mahakamani jamaniMkuu fanya utafiti kabla ya kuongea inasambazwa na label ya Putamayo World Music sio Pirated Cd
Wewe ndio ufanye utafiti,msaidieni basi TID awahi mahakamani jamani
Asante mkuu kwa kulijibu hili!Kwanza ili aende kudai haki anayo sema ni haki ahakikishe wimbo wake ulisajiliwa basata kipindi unatoka na unaonesha ni wake ...napia ahakikishe hiyo million miatano inaendana na madai yeke.
Lakini ambacho naweza sema Sidhani kama hapa kuna case lakini nahisi kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa maana najiuliza alikuwa wapi?
Halafu huo ni mkataba au article? hiyo article imeandikwa na CLOUDS fM au ni mwandishi tuu alikosea?
Nilitegemea kuona makosa ya Clouds Fm hadi sasa siyaoni..najiuliza kama Clouds FM hawakuwa na haki ya kupata malipo ilikuwaje wakalipwa na siku zote T.I.D alikaa kimya?
T.I.D aseme ni wapi Clouds wamekosea na aweke contract ili watu waone jinsi makubaliano yalivyo kiukwa....