Nakubaliana na ww....inavyoonekana ni makosa ya mwandishi....sasa mwandishi anapaswa kusema ni wapi aliitoa hyo informationKwanza ili aende kudai haki anayo sema ni haki ahakikishe wimbo wake ulisajiliwa basata kipindi unatoka na unaonesha ni wake ...napia ahakikishe hiyo million miatano inaendana na madai yeke.
Lakini ambacho naweza sema Sidhani kama hapa kuna case lakini nahisi kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa maana najiuliza alikuwa wapi?
Halafu huo ni mkataba au article? hiyo article imeandikwa na CLOUDS fM au ni mwandishi tuu alikosea?
HAHA .. HII NI JOKE MKUU.. HUMJUI T.I.D..HAPO ANAFANYA JOKES KUTOKANA NA MWANDISHI KUKOSEA.. Hivi unadhani TID akizinguana na clouds atakwenda wapi????Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down
[emoji45] [emoji45] juzi nimemkuta sehemu anasukuma mkoko mzito sana tu vogue ya 2014.nikajiuliza au labda ndio ule mtonyo alilamba kweli[emoji124] [emoji124] [emoji124]Hivi AY na FA kesi yao na Tigo inaendeleaje wakuu?
[emoji45] [emoji45] juzi nimemkuta sehemu anasukuma mkoko mzito sana tu vogue ya 2014.nikajiuliza au labda ndio ule mtonyo alilamba kweli[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duh basi hongera yake, maana kibongo bongo kuna wenzie tungeishajua ile sio gari ya mchezo mchezo.Huo mbona anao muda sana, hii kesi ni moja ya kesi legitimate sema tu jamaa walitaka kiasi kikubwa.
Nadhani Tigo watanegotiate kupunguza ila kesi ni mbaya kwao.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duh basi hongera yake, maana kibongo bongo kuna wenzie tungeishajua ile sio gari ya mchezo mchezo.
Hata mimi pia niliwaza lazima watashinda ila sio kwa kulipwa mrungula ule nadhani mambo yapo vizuri upande wao mpaka sasa.
Muulize Msando wakili wao. ni mwanachama wa JFHivi AY na FA kesi yao na Tigo inaendeleaje wakuu?
Bado ni neema sana tu.Watashinda, ila siyo kwa kiasi kile. Ila bil 1 na kuendelea wanaweza kuipata.