TID amlalamikia Billnass, ‘sijapenda alikuwa akinibembeleza nimsaidie ajulikane'

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’.

xTID.jpg.pagespeed.ic.Ar8Si2ZWT7.jpg

Mapema mwaka huu Billnas aliiambia Bongo5 kuwa aliondoka Rada bila matatizo na mtu yeyote.

Akiongea na Clouds Fm, TID amedai Billnass amesahau alikotoka na hatoi heshima kwa watu walio msaidia kumfikisha hapo alipo sasa.

“Mi sijapenda alikuwa akinibembeleza nimsaidie ajulikane, alikuwa ana nidhamu lakini sasa hivi hanipigii simu, tukimwambia afanye hivi hataki,” alilalamika TID. “Why do we help people who do not help us, why he think he is on top all over the sudden no!! People don’t live like that… People need to respect the people who help u… And of the day,”

Aliongeza, “Mimi i gave out to my heart, my voice, my energy, my talent to make him shine but I don’t see any effort, hajanipa hata laki moja kuniambia nashukuru, anafanya tour hata kuniambia Mzee Mnyama chukua hii laki tano umenifanyia chorus kali neve, huyo mtu wa aina gani hata ungekuwa wewe usingefurahi basi hata shilingi elfu kumi. The first time mimi ndiye niliyemleta Clouds Fm kufanya interview ananiambia siwezi kuongea anatetemeka, ningetaka kumsign halafu ningemmaliza ingekuwa kila napokwenda kufanya shoo angekuwa ananilipa lakini niliona kwamba sina shida kitu nilichokuwa nakihitaji ni ‘appreciation’ ndo maana watu wanatoa cirtificate of ‘Appreciation’,”

Kwa upnde wa Billnas akizungumzia issue hiyo alisema kuwa ameichukulia kawaida kauli hiyo na hajamkimbia TID.

“Mimi natambua mchango wake na nimewahi kuzungumza mara nyingi na najua nafasi yake kwangu na sijawahi kumdharau na kuondoka Radar halitakiwi liwe kosa,” alisema Billnass.
 
Binafsi Namshangaa TID kwani ukimsaidia mtu ndio unataka awe rafiki yako full hata kama chemistry zenu haziivi? kama ulikuwa unataka appreciation sema hela unapewa hela, muziki ni biashara kwa hiyo akikuona huna jipya kwenye muziki wake kukua anaondoka tu, do't take it personal
Bac mam umemaliza
 
unique wapi bhana ile ni style km ya godzilla copy and paste....siku ya kwanza kuskia audio ya ligi ndogo nilijua ni king wa Salasala mnyamwezi zilla kumbe ni huyu chalii Bil.
Godzilla mimi namuona anamuiga fifty cent, alafu BILL anamistari mikari, inawezekana anamuiga kiasi Fulani zilla si unajua hawa jamaa wote wanasoma chuo kimoja ( CBE), shida ni kitu gani na tunaishi maramoja,
 
Binafsi Namshangaa TID kwani ukimsaidia mtu ndio unataka awe rafiki yako full hata kama chemistry zenu haziivi? kama ulikuwa unataka appreciation sema hela unapewa hela, muziki ni biashara kwa hiyo akikuona huna jipya kwenye muziki wake kukua anaondoka tu, do't take it personal

Huyo TID ndio kauli zake za kila siku nakumbuka hata ommy dimpoz na alawi junior walipojitoa top band aliongea shit hizo hizo,watu wanataka maendeleo siyo longo longo,kashaongea shit kwa q chillah na hata kwa diamond peole they don't want to stuck on u Tidiii!
 
Maneno kitu simple chafu pozi
I got luv from ma pipo chafu pozi

Ghafla nmekuwa fan wa huyu jamaa
 
Back
Top Bottom