TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,942
19,130
TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..nika sema Dah....

 
Hata ukiacha uteja huwezi kuacha pupa ,hata huko sober house huwa wanapunguziwa dose au wanapewa dose ya methadone kwa kiwango

Uteja hauwezi kuachwa ndani ya wiki ,mwezi au mwaka

Huchukua miaka 5,6,4 nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom