Tiba

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,576
JITIBU MWENYEWE

KUONDOA NUKSI,MIKOSI,MABALAA,FITNA NA HASADI

~Ogea chumvi ya mawe tia vidonge7 kwenye maji,baada ya hapo jifukize unga wa arkisusi kwa siku 14 utaona maajabu In shaa Allah kumbuka kuanza siku ya jumatano.

MARADHI YOYOTE YASIYOONEKANA HOSPITAL

MINYOO

~Andaa nyanya kubwa 2 zioshe vzr kwa maji ya moto,zikatekate changanya na kijiko1 cha unga wa pilipili manga na chumvi kiasi

~Kula asubuhi kabla hujala chochote,fanya hvyo wiki2 minyoo yote itaisha Inshaa Allahu

MTOTO WA JICHO

~toto la ndizi dondoshea utomvu wake kwenye jicho hilo,utaskia maumivu uchafu ukitoka umepona Inshaa Allah

TUMBO KWA MAMA ALIYEJIFUNGUA

~Mzizi wa mdizi na mzizi wa muwa chemsha anywe kutwa mara2

VIDONDA VISIVYOPOA
~Binzari ya manjano koroga kwenye maji upate uji mzito pakaa mara2 kwa siku

MAUMIVU YA TUMBO

~Vijiko viwili vya tangawizi na mafuta ya nyonyo vijiko2

Changanya kula mara2

MAUMIVU YA VIUNGO/MGONGO
~Mafuta ya simsim,habbatsauda na pilipili manga

Chemsha chuja pakaa panapouma yakiwa vuguvugu

DEGEDEGE
ponda vitunguu thaumu umpake mwilini na maganda mfukize siku 21

KWIKWI ISIYOKWISHA
Kiazi cha mlangamia chemsha na ubani makka uwe wanywa kutwa mara 2

KUMVUTA MUME/MKE ALIYEKUKIMBIA
~¿¿¿¿¿¿¿¿¿Onana na Dr(jiandae kbl ya kuja kuna maswali utaulizwa)

KURUDISHA KILICHOIBIWA/ALIYEDHULUMIWA
~¿¿¿¿¿¿¿¿¿onana na dr

(onyo hakikisha umedhulumiwa kweli na isiwe ww ndye unayetaka kudhulumu yatakayokukuta mii simoooo)
 
Mmmhhh ebu nkuulize at kama dawa zote umetuelekeza at kwa nni na iyo ya kuludisha mme au mke aliekuacha at usituelekeze ad tuonane na dokta at ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom