Tiba Zingine Bwana!

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Jamaa ana matatizo ya akili. Juzi tar. 24 akawa amechanganyikiwa na akawa mkorofi vibaya sana. Basi alivopelekwa hospital kwa nguvu akapewa dawa za usingizi, kwa kitaalamu 'sedatives'. Bahati mbaya kumbe zilikuwa na nguvu kupita kiasi. Jamaa kapiga mbonji mpaka leo asubuhi tar.26, kapata fahamu . Anaamka anauliza "vipi leo tunaenda kutembelea wapi?" Rafiki yake anastuka, "kutembelea wakati leo siku ya kazi? J3 leo." Jamaa anafoka "acha utani leo siku kuu ya krismas." Rafiki yake ikabidi awe mpole. Samahani jana ndo ilikuwa krismas, bahati mbaya juzi ulipatwa na tatizo la akili ukapewa dawa za usingizi. Ukweli mpaka sasa wanajf mahali hapa bado hapajaeleweka. Jamaa anadai krismas yake. Bahati mbaya siku haziwezi kurudishwa nyuma. Nadhani ushauri hapa unahitajika, vurugu tupu jamaa hakubali. Picha ninazo kwenye simu lakini bahati mbaya siwezi ku-upload.
 
Mpikieni pilau..mnunulieni soda then mpelekeni beach ili afurahi na roho yake...sikukuu bado inaendelea bana, leo ni boxing day..
 
Kama analilia kutoka sikukuu huku anafanya fujo...nahisi atakuwa under-20
Kabisaaaa coz mtu mzima hawezi labda awe ametoka kwa akina NITONYE kaja kula x-mass halafu hajaila....loh inauma kurudi bila kula pilau.Nadhan kmmulivyosema wampikie pilau wampe na FANTA ORANGE atafurahi na kuridhika tu. teh
 
Hahhahhaa...kwani NITONYE anatokea wapi?
 
kimbieni kariakoo mkamnunulie nguo
afu rudisheni tar nyumba kwenye kalenda
 
Haswaaa..na hizo nguo wakimnunulia wasitoe lebo laasivyo atagoma kuzivaa..balaa litaanza upya..

dah?
Tangu nijiunge JF we ndo wa kwanza kureply post yangu, ni-PM basi mrembo ili nikutunuku kuwa mtu wa kwanza kunitumia PM,
au we unaonaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom