Tiba ya pneumonia kwa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba ya pneumonia kwa watoto

Discussion in 'JF Doctor' started by anania, Sep 27, 2010.

 1. anania

  anania Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nina mtoo wa mwaka mmja amekuwa akisumbuliwa na pneumonia kila baada ya wiki mbili.Najitahidi kumvalisha nguo nzito kukiwa na baridi kakini haisaidii.Amechomwa X-pen mpaka ****** yamekakamaa naombeni ushauri wa tiba ya kudumu
   
Loading...