Tiba ya nguvu za kiume

Tiba ya nguvu za kiume

Graxsam

Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
84
Reaction score
96
Wadau,,,,kama kichwa kinavojieleza tunaomba yoyote ambae amewahi kupatwa na tatizo la nguvu za kiume na akapata tiba na akapona tunaomba atusaidie na namba ya aliemtibu ,,,, ahsanteni
 
Hujaeleza tatizo hasa ni lipi kwenye hizo nguvu za kiume!
Ila hii mambo haina tiba ya direct, lakini doctor wa hii kitu ni mpenzi wako tu ndio anaeweza kukurudisha kwenye reli, cha msingi atambue tatizo lako na aaenze matibabu ya kukufariji na kukupa tunda kila siku bila kujali unamlizisha au la
 
Wadau,,,,kama kichwa kinavojieleza tunaomba yoyote ambae amewahi kupatwa na tatizo la nguvu za kiume na akapata tiba na akapona tunaomba atusaidie na namba ya aliemtibu ,,,, ahsanteni
Zimekuwaje? Hebu fafanua

Jogoo kagoma kuwika kabisa
Jogoo anasuasua kuwika
Jogoo anawika mara chache
Jogoo anawika mara moja kwa mwezi

Fafanua upate tiba sahihi.
 
Wadau,,,,kama kichwa kinavojieleza tunaomba yoyote ambae amewahi kupatwa na tatizo la nguvu za kiume na akapata tiba na akapona tunaomba atusaidie na namba ya aliemtibu ,,,, ahsanteni
Kuna uzi nitakutag ukasome huko
 
Zimekuwaje? Hebu fafanua

Jogoo kagoma kuwika kabisa
Jogoo anasuasua kuwika
Jogoo anawika mara chache
Jogoo anawika mara moja kwa mwezi

Fafanua upate tiba sahihi.
Yani nikiwa na mwanamke tunachezeana uume unasimama ila nikitaka kufanya nao unalala Bill
 
Yani nikiwa na mwanamke tunachezeana uume unasimama ila nikitaka kufanya nao unalala Bill
Maswali ya nyongeza

1. Umeoa au haujaoa?
2. Una mchumba uliahidi kuoa?
3. Mara ya mwisho kutenda kwa ufanisi ulitenda na nani? Na vipi ukienda kwake sasa wakati wa kutaka tendo kuna changamoto au ufanisi unakuwepo?
4. Je, changamoto ipo kwa wote ulipojaribia?
5. Hauna stress kuhusiana na jambo lolote?

Mganga au Doctor wa tatizo lako ni wewe ukiweza kupata japo kidogo ufahamu wa chanzo cha tatizo lako utaweza kuongoza matabibu kukupa tiba sahihi.

Tambua pia wanawake wana teknolojia yao kukufunga ufanye kwake pekee kwingine usiweze.

Pia stress au msongo wa mawazo na kujiona una tatizo la nguvu na huwezi kufanya yaweza kuwa tatizo kubwa zaidi kushinda tatizo halisi. Yaani picha iliyopo kichwani kwako kwamba ukifika wakat wa tendo hauwezi yaweza kuwa shida zaidi.
 
Hujaeleza tatizo hasa ni lipi kwenye hizo nguvu za kiume!
Ila hii mambo haina tiba ya direct, lakini doctor wa hii kitu ni mpenzi wako tu ndio anaeweza kukurudisha kwenye reli, cha msingi atambue tatizo lako na aaenze matibabu ya kukufariji na kukupa tunda kila siku bila kujali unamlizisha au la
Nakubalianaa na ww kiongoz, tiba.nimpenz wake tu
 
Back
Top Bottom