Kwanza kaa utambue, zaidi ya 80% ya matatizo ya nguvu za kiume ni matatizo ya kisaikolojia. Ukitaka kujua kwamba wewe huna tatizo katika kudindisha, ukiwa peke yako unadinda, ukiwa unatongoza dem mkali unayemkubali unadinda, ukiamka asubuhi umesimama na wakati mwingine hata mchana upo job au kwenye daladala unakuta uume upo wima tu bila sababu.
Kwa maelezo haya, We ndugu yetu huumwi chochote. Ni ANXIETY ndiyo inayokutesa. Ni mfadhaiko na kimuhe muhe mtu anachokuwa nacho ukipata qumma mpya. Unajikuta mpaka una underperform. Ukweli ni kwamba, hali hiyo inamkuta mwanaume yeyote na kila mwanaume ameshajikuta hali hiyo atleast once in a lifetime.
Solution hapo ni psychological zaidi wala huitaji dawa yoyote ya kumeza wala kupaka wala mazoezi.
Ni kwa maelezo hayo, wewe hujaoa. Ungekuwa umeoa ungekuwa unapiga shemeji yetu vizuri kabisa.
Sasa fanya hivi, kwa kuanzia, tafuta dem 1 uwe unafanya naye mara kwa mara na umzoee. Jijengee picha kuwa wewe ni mwanaume kamili naye anajua hilo. Ukilimudu hili umevuka.
Kingine, hakikisha mwanamke wako huyo anajua kinachokusibu.....akuvumilie, akutie moyo na akusaidie pale kitandani kukusimua na kurudisha hali yako, kwa maneno na matendo. Ni zoezi endelevu.
Kila la heri.