Tiba ya nguvu za kike

ungefafanua basi bushdokta
 
Reactions: DLc
Wanawake nao wawe bize... wapate dawa wanatuchosha sana masela!
 
Reactions: DLc
ungefafanua basi bushdokta
Mwanamke anayekabiliwa na upungufu wa nguvu za kike (kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa anapaswa kuingeza masaa ya kulala ili arejeshe mwili katika hali yake
 
Kwa hiyo ukiwapea dawa ya usingizi tu wanakuwa ngangari kunako 6x6 ?!
Hapahitaji dawa ya usingizi, anatakiwa apate usingizi wa kawaida ifanyike kama reaction ya mwili, alipewa dawa ya usingizi anakuwa anatengeneza reaction nyingine mwilini tofauti na ilivyokusudiwa
 
Pochi nene itamsaidia mwanaume tu kupata kile anachokitaka Kwa Mwanamke lakini katika Tendo la Ndoa haitaongeza chochote
Kuna tofauti gani kati ya uzinifu na tendo unaloita la ndoa?
 
Reactions: DLc
Kuna tofauti gani kati ya uzinifu na tendo unaloita la ndoa?
Tendo la Ndoa ni kitendo Cha kujamiana kihalali, Uzinifu ni kujamiana isivyo halali πŸ˜…
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…