Tiba ya ndoa kupitia Maandiko

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
TIBA YA NDOA KUPITIA MAANDIKO 1WAKORINTHO 7,1_5

Basi Kwa Habari Ya Mambo Yale Mliyoandika Ni Heri Mwanamume Asimguse Mwanamke.2 Lakini Kwa Sababu Ya Zinaa Kila Mwanamume Na Awe Na Mke Wake Mwenyewe,na Kila Mwanamke Na Awe Mume Wake Mwenyewe.3 Mume Ampe Mkewe Haki Yake,na Hivyo Hivyo Mwanamke Na Ampe Mumewe Haki Yake.4 Mke Hana Amri Juu Ya Mwili Wake,bali Mumewe Vivyo Hivyo Mume Hana Amri Juu Ya Mwili Wake,bali Mkewe.5 Msinyimane Isipokuwa Mmepatana Kwa Muda,ili Mpate Faragha Kwa Kusali,mkajiane Tena, Shetani Asije Akawajaribu Kwa Kutokuwa Na Kiasi Kwenu.
Tuyaishi Maandiko Tupate Amani Ya Maisha Siku Zote Za Uhai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom