OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,915
tuogee wap mkuu!?kama umekataa bafuniHellow wakuu mpo?
Hakuna asiyeyafahamu maziwa, kila mtu anayajua maziwa ni lishe muhimu kwa binadamu sababu yana virutibisho vyote muhimu. Yanaponya maradhi mbali mbali na kuua sumu yeyote mwilini.
Je wajua maziwa fresh yanaweza kutatua changamoto mbali mbali za kimaisha ikiwemo kusafisha mwili, kuua mikosi, kukuongezea mvuto, kukupa mme au mke umtakae na hata kuimarisha uchumi wako?
View attachment 3215433
Omoyogeane nakuletea experience na elimu adimu ambayo huwezi ipata popote
Chakufanya ni kuchukua maji ya kuoga maji baridi namaanisha yasiwe ya uvugu uvugu kisha unamimina maziwa kiasi kidogo kama hapo juu pichani,
Matumizi yake ni kuoga
Kabla ya kuoga unanuia mambo yote unayotaka kisha unaoga.
(Usiogee sabuni).
Hakuna likitation yeyote ya kuoga ukiweza unaweza ogea maziwa kila siku.
Kuna siri nzito kwenye maziwa
Nawasilisha.
how fanta; ? inafanyjeSio maziwa tu, Kuna mkojo na fanta 😂
Mkojo ni mikosiSio maziwa tu, Kuna mkojo na fanta 😂
Cocacola mkuu sio fantahow fanta; ? inafanyje
Popote hata bafuni ruksatuogee wap mkuu!?kama umekataa bafuni
Mkojo wa asubui ni dawa, usi jifungue kwenye box kwa kudhani you're google mkuu😁.Mkojo ni mikosi
Soda inaweza tumika ila sio fanta ni cocacola
sawaa 🙌✍Popote hata bafuni ruksa
Sijasema mkojo kuwa sio dawa ila hapa nazungumzia kuhusu kusafisha mwili kuondoa mikosi kuweka mvutoMkojo wa asubui ni dawa, usi jifungue kwenye box kwa kudhani you're google mkuu😁.
fanta ni tiba mkuu, narudia you're not google.
Sasa kwani mkojo wa asubui una ondoa Nini??.Sijasema mkojo kuwa sio dawa ila hapa nazungumzia kuhusu kusafisha mwili kuondoa mikosi kuweka mvuto
Tatizo mnajifanya wajanja na wajuaji ulitakiwa uulize yanafanyaje fanyaje kaziMawazo ya hovyo sana
Hiyo ni tiba ya kufukuza mapepo usidanganye watu mkuu tena inahitaji uangalizi nitaleta hiyo thread siku ingineSasa kwani mkojo wa asubui una ondoa Nini??.
jibu ni mikosi na kufungua Nuru, asubui njema mkuu.
Waambie na wengine. Elimu ni bahari.Najua ulikaririshwa.na kuua sumu yeyote mwilini.
Hapa mkuu unazungumzia chemistryWaambie na wengine. Elimu ni bahari.Najua ulikaririshwa.
Does drinking milk immediately after swallowing poison coat the stomach and prevent harm?
Milk is not a remedy or antidote for poisons, nor does it protect the stomach from an ingested chemical or toxin. Other myths include having a person eat burned toast, raw eggs or mustard. None of these are a remedy.
Samahani yatazuia vipi?? Ukiniambia yatachelewesha nitakuelewa lakini siyo kuzuia.ukanywa maziwa maziwa yatazuia absorption ya sumu kwenye bloodstream