Tiba ya Macho mekundu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wadau nina tatizo la macho kuwa mekundu yaani ni shida hata kuonana na mtu wa heshima yapo mithiri ya mvuta Bangi! hali hii inanikera ila macho hayaumi na kwenye jua ndo napata shida sana na kukunja Uso! Nifah rubii mshana jr
 
Nenda hospitali! Na uache kukesha uko macho mpaka mda huu unarandaranda tu unategemea kesho jicho liwe jeupe
 
Nilipokuwa mtoto nilikuwa napenda sana mtu mwenye macho mekundu,nilienda mbali zaidi hadi kuwaonea wivu na kutamani yangu yangekuwa mekundu pia.
Sasa nimekumbuka hapa hadi nikastaajabu,utoto una mambo sana.

Anyways, mie sijui tiba mkuu,ngoja nikuitie MziziMkavu akusaidie.
Pole sana.
 
Duh...si mzima wewe..nenda kwa wataalamu wakupime
 
Ukienda haja kubwa jaribu kufunga macho,usilikodolee macho gogo Lako.
 
Duh...si mzima wewe..nenda kwa wataalamu wakupime
Sure,tena nilikuwa nikimuona mtoto mwenzangu mwenye macho mekundu nitafanya niwezavyo hadi awe rafiki yangu!
Nilikuwa nasikia raha sana nikiyaona macho yao,hasa na zile glasses zao acha kabisa (Hapo kwenye glasses najua nitakuwa nimekugusa....hahahahaa)

Honestly say hadi sasa napenda!
 
mkuu hapo inabid ufike eye clinic ili ufanyiwe uchunguz unless ukieka dawa ya bila kuambiwa unaweza kusababisha shida juu ya shida,,,
 
Wadau nina tatizo la macho kuwa mekundu yaani ni shida hata kuonana na mtu wa heshima yapo mithiri ya mvuta Bangi! hali hii inanikera ila macho hayaumi na kwenye jua ndo napata shida sana na kukunja Uso! Nifah rubii mshana jr

macho mekundu.jpg

TIBA(1) Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya waridi kila wakati. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.awe pia anakula karoti.

AU TUMIA DAWA HII HAPA CHINI ITAKUSAIDIA :
Tiba (2) Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa asali katika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.
Tiba (3) Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba ingine.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Back
Top Bottom