Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
Nikajua tutakaribisha ka first born kumbe hamna kituNakumbuka sana
Nikajua tutakaribisha ka first born kumbe hamna kituNakumbuka sana
Unafurahi kama hufanyi, usiombe ufanye alafu upitilize yote hiyo utamaliza UPT pharmacy. Kila kukicha unasikilizia sijui nitaanza kujisikia kichefuchefu unaona hola, unaweza anza kuhisi katoto kanacheza tumboni kwa woga huku umepitiliza miezi 2 tu.
- Amewahi kujifungua kwa njia ya kawaida?
- Amewahi kufanya njia yoyote ya kuzuia mimba?
- Ameshawahi kupata Miscarriage?
- Ni mtumiaji wa vilevi (pombe)?
- Ni tatizo la muda mrefu au limeanza hivi karibuni?
Mpe pole wifi yetu. Labda ningependa nijue historia ya wifi kidogo kuhusu matumizi ya njia yoyote ya uzazi wa mpango kama amewahi tumia mfano kijiti au kitanzi.
Mara nyingi njia hizi huleta kero hizo za kurudia rudia bleed. Je mmefanikiwa kupata mtoto? Na tatizo limeanza lini?
Kwanza ngoja niweke sawa. Tuna age ya between 21 - 25 but haya mambo yanasumbua muda mrefu kwa muda wa miaka mitatu hivi. Alafu sio mke wangu hata kwao sijulikani nimeamua kufanya mchakato maana naamini naweza saidia kwa namna fulani.
Eti unaweza hisi mtoto anacheza tumboni!Unafurahi kama hufanyi, usiombe ufanye alafu upitilize yote hiyo utamaliza UPT pharmacy. Kila kukicha unasikilizia sijui nitaanza kujisikia kichefuchefu unaona hola, unaweza anza kuhisi katoto kanacheza tumboni kwa uoga huku umepitiliza miezi 2 tu.
Mimi siku za nyuma nilikuwa napitiliza sana naweza kukata hata miezi mitatu au miwili ila nilikuwa nafurahia maana hakuna wakati huwa nalaani kuzaliwa mwanamke kama wakati wa hedhi. Sasa hivi zimekaa sawa ni miezi minne sasa mzunguko uko perfect.
Shukrani,ngoja nijipange kupata hela ya kutosha maana hizi private health services zina gharama kubwaHapo mkuu cha kukushauri huyo bidada akamuone Gyno. Kama ni magonjwa ya kurithi watamfanyia uchunguzi tatizo litaisha.
Narudia tena akamuone Gyno, yaani daktari wa magonjwa ya wakina mama. Asiende hospital akaonana na daktari ili mradi, wengine hawana ujuzi wa kina. Naamini atasaidiwa na kuwa normal.
Hela ndogo kulingana na tatizo. Vipi matibabu jumla yanaweza cost bei gani. Nataka nijimwambafai niende naeni kweli kumuona tu huyo gyno si chini ya 20 elfu
Mimi huwa najifariji tu kuwa in mabadiliko ya halli ya hewa 😀😀Pamoja na kuwa ni kitu ambacho hakifurahiwi na wanawake, ila kupitiliza sidhani inaweza ikanipa furaha. Maana naanza kuwaza "nini mbaya"?
Japo sijawahi kupitiliza hata mara moja ila sitaki hata kufikiria.
Mimi huwa najifariji tu kuwa in mabadiliko ya halli ya hewa
Dinnah, Hivi akishaona siku zake ndio itakuaje? Atanufaikaje?