Tiba kwa kutumia stafeli

Tiba kwa kutumia stafeli

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,414
Wakuu kama ilivyo mda mwingine tunatoa faida ya kitu.

Nadhani mnaufahamu mti wa stafeli. Leo nataka ufahamu baadhi ya tiba zake.
Maandalizi
•Chukua majani ya stafeli (yawe kiasi)
Hayo utachemsha iwe kama chai yako
Nb: usiweke sukari.

Matumizi
Tumia kua unakunywa kila siku asubuhi (Unaweza fanya kama dozi kwa siku 7 au ikawa kama shehemu ya maisha yako).
Unaweza kutumia kunywa huku ukiwa na vitafunwa vyako kama unavyo tumia kifungua kinywa.

Faida zake
•Hutibu saratani
•Hutibu Minyoo
•Hutibu Typhoid
•Husaidia kwa wanao sumbuliwa na Michango
•Huzuia Homa na maralia ya mara kwa mara
•Minyoo
•Huzuia chango la uzazi
•Kichomi
•Huzuia tezi dume
•Hutibu UTI
•Tiba ya kisukari na shinikizo la damu
•Husaidia kwa wanao ugua kichwa cha mara kwa mara.
Nk...

Kwa michongo yote tutasaidia
Wako Emmanuel Kasomi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom