Tiba kwa afya ya mahusiano

Tiba kwa afya ya mahusiano

Joined
Feb 9, 2014
Posts
17
Reaction score
0
Kila kitu kinaitaji uwelewa na usanifu {art n knowledge} hata kujenga mahusiano yenye afya bora unaitajika kuwa na uwelewa na sanaa ya mausihano,, kuanzia kuuelewa mwili wako, nambinu za kufanya kuboresha afya na mwili wako,,, tunatoa ushauri na kutibu tatizo lolote la kukosa hamu ya kujamiiana na upungufu wa nguvu za kiume,,, tiba zetu ni mpangilio wa chakula mazoez na miti ya asil,,, karibu no: +255 717 050 484
 
sio sifa kupost nyuzi mbili mbili ujue!

nimekuona JF DOCTOR.. umekimbilia hadi huku!

ina maana uzi huu ni mult purpose? no even a single word changed qudadeki!
 
Biashara hizii lol haya kila la kherii!!!
 
Twende tukapate tiba ya mahusiano bwana, acha mbeembwe!
sio sifa kupost nyuzi mbili mbili ujue!

nimekuona JF DOCTOR.. umekimbilia hadi huku!

ina maana uzi huu ni mult purpose? no even a single word changed qudadeki!
 
Twende tukapate tiba ya mahusiano bwana, acha mbeembwe!

hivi haukulala we mrembo! hivi Paw angenifumani usiku usiku naongea na wewe ingekuwaje?

actually ningemtwanga tu! nasikia nyumba yake imeenda na mafuriko! hahahaaaaa!!! pole Paw! hii ndo dar bana! survival for the fittest..!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
yaani haujiamini wewe hadi huruma. unamjua paw ama unamsikia tu? hehehe unalo, mvua hizi sie kazi yetu kupendana tu.
ngoja niwahi nikapike mie.

haya mamii! pilipili izidi chumvi tafadhali!
 
Back
Top Bottom