Tiba dhidi ya kitambi (kiribatumbo)

Tiba dhidi ya kitambi (kiribatumbo)

Omuziba

Member
Joined
Jun 30, 2017
Posts
57
Reaction score
12
Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta, pia kuzidisha virutubisho
Kwenye ulaji humsababisha MTU awe na kitambi. Kutokana na kuongezeka kwa cholesterol mwilini
Hasara take ni kwamba MTU unaweza kupata matatizo mengi ya kiafya kama vile kupata shinikizo la damu(blood pressure), upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya figo n.k
LAKINI HABARI NJEMA ni kwamba kampuni ya AIM imekuja na tiba kama CHOLEDUZ ambayo inasaidia kutibu kitambi pamoja na matatizo mengi ya kiafya , pia Inazo tiba kama vile COMPLETE, C24/7 hizi pia zinatibu matatizo mengi ya kiafya kama vile kansa, kiasukari , kupunguza speed ya mtu kuzeeka, kuongeza kinga ya mwili n.k
Ukinunua bidhaa kwenye kampuni utaweza kuunganishwa kwenye biashara kubwa sana, huo ndo uzuri wake maana yake utakuwa vizuri kiafya pia kiuchumi kwa wale wanaohitaji bidhaa au kujoin piga 0757409103
 
Aiseeeeeh,
Sijaelewa kama ni Tiba au tangazo la kujiunga na biashara yako ya ngazi.
 
ni tiba,
Choleduz inapunguza kitambi, yaani inapunguza cholesterol mwilini,
Pia ina molecules za mafuta ya samaki ambazo zinasaidia ubongo uweze kufanya kazi vizuri
 
Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta, pia kuzidisha virutubisho
Kwenye ulaji humsababisha MTU awe na kitambi. Kutokana na kuongezeka kwa cholesterol mwilini
Hasara take ni kwamba MTU unaweza kupata matatizo mengi ya kiafya kama vile kupata shinikizo la damu(blood pressure), upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya figo n.k
LAKINI HABARI NJEMA ni kwamba kampuni ya AIM imekuja na tiba kama CHOLEDUZ ambayo inasaidia kutibu kitambi pamoja na matatizo mengi ya kiafya , pia Inazo tiba kama vile COMPLETE, C24/7 hizi pia zinatibu matatizo mengi ya kiafya kama vile kansa, kiasukari , kupunguza speed ya mtu kuzeeka, kuongeza kinga ya mwili n.k
Ukinunua bidhaa kwenye kampuni utaweza kuunganishwa kwenye biashara kubwa sana, huo ndo uzuri wake maana yake utakuwa vizuri kiafya pia kiuchumi kwa wale wanaohitaji bidhaa au kujoin piga 0757409103
Nilikuwa naangalia orodha ya WHO ya magonjwa, kitambi siyo ugonjwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom