TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

Bado sina mchumba kwa sasa nipo single
nakaribisha warembo wa jf wanaotaka kuanzisha mahusiano seriously
Sawa wamekusikia!
Kipato chako kwa mwezi una save kiasi gani!
 
So una drive mzeya
Unataka mchumba wako awe na muonekano gani!
Tabia je
ndiyo
Mchumba ni nayemtaka awe mrefu, asiwe mweusi sana, awe ni mtu anayependa Maendeleo,Ambaye tutasaidiana naye kwenye maisha, Awe mwenye busara na tabia njema na pia awe mkristo
 
ndiyo
Mchumba ni nayemtaka awe mrefu, asiwe mweusi sana, awe ni mtu anayependa Maendeleo,Ambaye tutasaidiana naye kwenye maisha, Awe mwenye busara na tabia njema na pia awe mkristo
Unawachukuliaje watu ambao hawawezi kukufanyia jambo lolote,wasio na msaada kwako!
 
Back
Top Bottom