Thubutuuu

Wewe mpare una mambo wewe. Nafikiri kwenu hukupitia kuanika majani ya chai kwa sababu ya ubanifu ili yakikauka utumie tena. Mjinga sana wewe abhae .
 
Wewe mpare una mambo wewe. Nafikiri kwenu hukupitia kuanika majani ya chai kwa sababu ya ubanifu ili yakikauka utumie tena. Mjinga sana wewe abhae .

Mi nijuavyo mjinga alielimika huwa mwerevu lakini sio mpumbavu
 
Kuna mtu hapa alikuja kuniekezea matatizo yake, kuntaka Shauri, sa mii nikamuonyesha hii post yako, kasema kaghairi kunisimulia masaibu yake, baada ya kuona hii post yk!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…