Dhuks,
whichever way you slice it, this thing is not looking good for KE. Bantugbro has posted the following hypotheses,
1: Radars za Nanyuki AB zilikuwa hazifanyi kazi.
2: Waongozaji ndege wa Nanyuki AB hawaku-bother ku- assist their departing guests.
3: A serious party took place last night everyone was on hangover.
4: All of the above are true....
These are very valid questions that beg for answers, otherwise M7 will forever remain
suspicious and guarded. Somebody slept on the job on the Kenyan side and their is no
doubt about that. Its only fair that folks come out and say what happened on that fateful
day.
Ab-Titchaz.
Now I'm waiting for Uganda's side of the story.
Mkuu,
Kama ni kweli walipitia pale Nanyuki AB kuweka wese...basi ni dhahiri kabisa walikuwa one third of a Latitude away from the peak of Mt. Kenya (kumbuka one latitute in kama 112 Km na pale ni kama 32 km hivi.). Hivyo basi hata bearing ya flight path yao kwenda Wajir AB ilikuwa inakaribiana na bearing ya kuelekea Mt. Kenya tofauti ni kwenye Minutes na Seconds.
Tunaelewa kuwa waliojenga Nanyuki AB mahali ambako ni karibu sana na Mlima Kenya sio wapumbavu!! ndio maana tangu hiyo AB ijengwe hakujawahi tokea ndege tatu kwa pamoja kwenda kuparamia Mlima Kenya. Haya yote yanaendana kama ulivyosema hapo juu kuwa AB yeyote kitu cha kwanza ni lazima iwe na Radars (air control)....:hat:
Tunarudi kule kule :
It is impossible for the choppers to fly more than halfway to Wajir AB if they didn't have functioning communication systems to guide them along the flight path. So this is ruled out.
Remaining open questions:
1: Radars za Nanyuki AB zilikuwa hazifanyi kazi.
2: Waongozaji ndege wa Nanyuki AB hawaku-bother ku- assist their departing guests.
3: A serious party took place last night everyone was on hangover.
4: All of the above are true....:hat:
Heshima yako mkuu, mengi ntajibu kesho leo nimechelewa kidogo: Maswali yako ni yamsingi sana - kwa kawaida RADAR za kijeshi zinaona mbali sana, actually kama KDF/controller LAB wangeona marubani wa UPDF wako kwenye hatari ya kuparamia mlima, basi KDF Airforce wange scramble walao fighter moja ya kuwaongoza wabadilishe njia hata kama walikuwa wanaruka in total RADIO Silence. Fighter au Helicopter ya KDF ingetoa ishara kwa CREW wa chopper za UPDF ili wa-land to the nearest base for their own safety hata kama wegebaki hapo mpaka kesho asubuhi.
Ishara za kumuonyesha mwezako akufuate zinajulikana, unainamisha bawa la ndege kushoto na kulia - basi wanakufuta mpaka kwenye uwanja wa kutua; mimi sioni kama kulikuwa na effort zozote za kuhepusha janga hili - safety ya AIRSPACE around Kenya hiko mikononi mwa nani? Je hawana wajibu wa kuhakikisha kwamba ndege zote za kigeni zinaingia na kutoka SALAMA nchini mwao!!! Mkuu avionics na comm system vya choppers vyote vilikuwa vinafanya kazi - tatizo wenda ikawa CREW walipewa wrong info/advise kwa bahati mbaya au maksudi. Nimeona kwenye gazeti la Kenya eti ma-crew walisema wataruka chini chini wasije kutunguliwa na Al-Shaab-kichekesho kabisa!! Yaani waruke umbali wa kulipuliwa na a mere RPG.
Wanawasema eti chopper za UPDF eti zilikuwa secondhand sijuhi zimekarabatiwa, wanasahau kwamba hata wao walinunua Northrop Grumman fighters F-5 (series E, F, ME) zikiwa secondhand kutoka falme ya Jordan idadi zilizo nunuliwa ni 15 walikuwa na nyingine 14 lakini zinazo fanya kazi kwa sasa ni 22.
Wanasema eti wana Gunship 51 wakati ukweli wa mambo ni kwamba siyo Gunship bali ni utility chopper za aina ya 500MD series ambazo unaweza kuzifunga silaha za kawaida tu, nyingi za chopper hizo zilinunuliwa kuanzia mwishoni mwa miaka ya sabini.
Adadi ya GUNSHIPS walizo nazo kwa sasa hawazidiani na Uganda, walinunua a watereddown GUNSHIP tatu kutoka Urusi aina ya Mi-28 wana mpango wa kuongeza nyingine 13 - uwezi kulinganisha MI-24 na MI-28, chopper aina ya MI-28 haifui dafu kwa MI-24 na hilo wanalijua sana. Kwa hiyo idadi ya GUNSHIP walizo nazo ni SABA i.e 3 aina ya MI-28 na 4 za Kichina aina ya Z9WE , Gunships hizo ziko chini ya 50[SUP]th[/SUP] Air Cavalry Division - Embakasi.

Ishara za kumuonyesha mwezako akufuate zinajulikana, unainamisha bawa la ndege kushoto na kulia - basi wanakufuta mpaka kwenye uwanja wa kutua; mimi sioni kama kulikuwa na effort zozote za kuhepusha janga hili - safety ya AIRSPACE around Kenya hiko mikononi mwa nani? Je hawana wajibu wa kuhakikisha kwamba ndege zote za kigeni zinaingia na kutoka SALAMA nchini mwao!!!
Mkuu avionics na comm system vya choppers vyote vilikuwa vinafanya kazi - tatizo wenda ikawa CREW walipewa wrong info/advise kwa bahati mbaya au maksudi. Nimeona kwenye gazeti la Kenya eti ma-crew walisema wataruka chini chini wasije kutunguliwa na Al-Shaab-kichekesho kabisa!! Yaani waruke umbali wa kulipuliwa na a mere RPG.
Wanawasema eti chopper za UPDF eti zilikuwa secondhand sijuhi zimekarabatiwa, wanasahau kwamba hata wao walinunua Northrop Grumman fighters F-5 (series E, F, ME) zikiwa secondhand kutoka falme ya Jordan idadi zilizo nunuliwa ni 15 walikuwa na nyingine 14 lakini zinazo fanya kazi kwa sasa ni 22.
Wanasema eti wana Gunship 51 wakati ukweli wa mambo ni kwamba siyo Gunship bali ni utility chopper za aina ya 500MD series ambazo unaweza kuzifunga silaha za kawaida tu, nyingi za chopper hizo zilinunuliwa kuanzia mwishoni mwa miaka ya sabini.
Adadi ya GUNSHIPS walizo nazo kwa sasa hawazidiani na Uganda, walinunua a watereddown GUNSHIP tatu kutoka Urusi aina ya Mi-28 wana mpango wa kuongeza nyingine 13 - uwezi kulinganisha MI-24 na MI-28, chopper aina ya MI-28 haifui dafu kwa MI-24 na hilo wanalijua sana. Kwa hiyo idadi ya GUNSHIP walizo nazo ni SABA i.e 3 aina ya MI-28 na 4 za Kichina aina ya Z9WE , Gunships hizo ziko chini ya 50[SUP]th[/SUP] Air Cavalry Division - Embakasi.
kitu cha kushangaza ni kuwa wewe unajifanya mbabe na mtaalam wa jeshi la kenya. je isipokuwa wikipedia unayotmia kufanya uchambuzi wako,ni chombo kigani chingine unachotumia kupata hizi taarifa ? jamani tuliza boli,afadhali uongelee kuhusu jeshi la tz hapo tutakusikia. ebu tueleze ulijuaje hizo mi 28 havoc ni 'watered down' una habari kutoka waliotengeneza hizo helicopters kuwa ziko watred down? halafu bila haya unaenedelea kuropokwa eti kenya ina tatu tu halafu nne za kichina, hapa ndipo nadhani unavuta mihadarati mizito kutoka tanga. una kitu chochote cha busara cha kuongelea kuhusu kenya nakusawishi sana uwe una comment kwa section ya siasa za tz hapo utaelewekwa,hapa wachia wakenya ni wereveu na wana IQ kubwa sana hawawezeki
i have tried to ignore this forum, moreso the rebuke comments...but its impossible. Eti KDF fighter jets be scrambled to guide ''supposedly competent pilots'' from fate and whom conviniently avoided our bases, were flying low and in active radio silence? Duh......even if it were i at Air Control Towers i wouldnt mind so long as they stay away from strategic KDF assetts.
They saw it fit to utilize civilian radars/facilities which are competent hence all SoS/formal communication were a civilian affair, nevertheless KDF were watching. KDFs role was water tight, make sure her assetts werent mapped, or jeopardised, the rest it mattered less. That was before the fate......(RIP)
Bukyanagandi, You dont understand one bit of KDFs doctrine and dont pretend you do. MI28, nato name, ''Havoc'' is the only copter comparable to the American Apaches. Totally agile craft when compared to the humongous MI24. Infact, MI24 choppers when fully ladden looses their hovering ability due to incosistent downwash courtsey of a design flaw. WORST FLAW: MI24 can not manouvre tight corners....''the main rotor ends up chopping of its tail''.
On the other hand, MI28 is a very agile machine; the most notable is the ability to make a complete 360 degrees loop in air. Very agile stick it has. The copters arriving are the best there is from russia, MI28NE....with night vision capability.
Now, before you practise your regular disinformation, understand Kenya has taken delivery of 16 such birds/with an option of substituting some of the birds with Hokum variant depending on top brass evaluation. (they have already been assembled)
About wz9e....upon full delivery, 70 variants which includes attack gunships/utility versions/VIP choppers will be in service. If you are in mombasa you cant fail to notice the several wz9e's criss crossing the air, mostly in tight formations, others simply in pilot training routines.
The MD500 gunship is a light anti armour air asset synonymous with the kind of weapons in this region. Armed with rocket pods as a prime weapon, in the hands of a good pilot, only 3 rockets are enough to incapacitate your 3rd/4th gen tanks.
Our second hand fighter jets are doing awesome in somalia. The jewel ones are just about to pop too.....Kenyas 50 years of independence will be a show and a half i reckon. Anyway, i love this witch hunting, tell us how Kenya brought these birds down. KDF attributes the crash to pilot error/bad weather.
Someone even suggested SAM batteries, GooD Heavens!!! waTz mnawashwa wapi?mara fuel, mara maps, mara flight path.
For what matters, lets wait for the inquiry to compile a report. All air protocols were observed by Kenya.
Endeleeeni hivyo hivyo mkifikiri mtaitawala EAC...sisi jua nyinyi na tamaa zenu. teh teh teh
teh teh teh...Kwani nyie mko kwenye sayari ya mars inayofanyiwa utafiti sasa? Mkifikiri hamjulikani mnajidanganya wenyewe...
wacha kujifanya eti wewe ama yeyote ana ujasusi kujua silaha na vifaa vyote ambazo jeshi ya kenya lina miliki,watz tuna shida moja,kwa sababu jeshi letu halina vifaa wivu na hasira inatufanya tuchukie na tusikubali cha ukweli kwamba katika africa mashariki jwtz ndilo linalegea kwa vifaa na silaha na kwamba kenya iko mbele sana. je jwtz ina vifaa vigani??
Thousands words...:hat:
Once upon a time this was supposed to be their original flight path:
Endeleeeni hivyo hivyo mkifikiri mtaitawala EAC...sisi jua nyinyi na tamaa zenu. teh teh teh
what has this to do with EAC? You believe Uganda would have stayed silent if a friendly state downed her choppers? Even if militarily incapable they would have made alot of noise nevertheless.