Jamaa kamuona boss kavaa suti(THREE PIECE) akamwambia alie jirani yake "NAZIPENDA SANA THREE PIECE"!!
Mwenzio bila kujua three piece ni nini haraka akamjibu!!
"ME NAPENDA ZAIDI IKIUNGWA NA NAZI""