Three Much....................Osha Machi kidogo.....

Demu mwenyewe kafubaaaa utasema kajipaka majivu. Ebu nijinywee Savana yangu miee nijiandae na kazi kesho. Ptuuuuuuuuu (nimetema mate kwa kichefuchefu)
 
halafu nahisi wewe ni ajuza...khaaa yan unahulka za ki Faiza foxy.
 
Kinyago cha mpapure demu mwenyewe kapauka vibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaya,hafai msikitini wala kanisani
 
Kitu chuichui. Mabata ushungu mie udenda kunitoka!
 
Siku hizi cover la kitabu haligarantee mauzo yake!!
 
Ukiona kinang'aa jua kimegaramikiwa
 
Demu mwenyewe kafubaaaa utasema kajipaka majivu. Ebu nijinywee Savana yangu miee nijiandae na kazi kesho. Ptuuuuuuuuu (nimetema mate kwa kichefuchefu)
Acha wivu.mtoto mkali kakufunika mwanzo mwisho,we utakuwa kati ya wale wanaomaliza mwaka bila kotongozwa
 
Kinyago cha mpapure demu mwenyewe kapauka vibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaya,hafai msikitini wala kanisani
wewe ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini, na uzuri wa mtu upo machoni pa mtu. na kama wewe unajiona mkali wengine wanakuona wa ovyo tu na haufai popote pale wala ahera hufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…