Three Most Racist nations on Earth

Hivyo you have a decision to make and its your call utakachojitetea nacho ni hicho cha Zanzibar kutowahi kuwa muhimu kwako na pia kuna Mzanzibar anaweza akawa na mawazo kama yako kwamba Tanganyika haijawahi kuwa muhimu kwake so what the heck is this all about ??kwa kifupi nime elewa dhamira yako japo umeamua kutumia diplomasia kufikisha ujumbe wako ,naheshimu mawazo yako
Asante kwa muda wako
 


Usijali, Pamoja Sana, TZ yetu Daima!
 
umeandika point mwanzo mwisho. umetisha.
 
Mkuu Donald Trump ni mtu mmoja tu na pia hiyo list ina mataifa ya kizungu wewe kwani Russia sio aZungu unataka list ya waarabu nini ?
Tatizo lako umeshindwa kuelewa kuwa umaarufu wake haukushuka mbinguni bali amepewa na haohao wamarekani. ndo maana anaongoza kwa white house contenders kutoka republican.
 
Tatizo lako umeshindwa kuelewa kuwa umaarufu wake haukushuka mbinguni bali amepewa na haohao wamarekani. ndo maana anaongoza kwa white house contenders kutoka republican.
Umaarufu wa Donald Trump umetokana na ujasiria mali wake wa miaka mingi sio ubaguzi acha utoto na wewe Trump hajaanza kuwa maarufu hizi wala jana
 


Sheikh Mimi sio mbaguzi lakini naogopa kwenda Arabuni nasikia saudia na emirati hati wahindi wanadeki vyoo?kweli waarabu ni viboko
 
mkuu haueleweki, umesema india ndio most racist then unasema ni Saudi Arabia
halafu ulichoandika hapa kuhusu wahindi kimekaa kama mtu anaye pandikiza chuki dhidi ya wahindi wote

Mkuu wewe ni mhindi au msukule wa mhindi/mwarabu? ?wale wanaopandishwagwa Darini kushusha mizigo? Ukizoea ile kazi unakuwa sawa na msukule tu.alafu some tena vizuri bandiko na w aswasi haujaelewa mkuu au shida lugha ya malkia?
 
Mkuu
vp kuhusu Israel mkuu, yaani india iwepo Israel ikosekane??[/QUOTE

Mkuu nimeweka nchi3 na Israel ni ya 4 sikuwa na lengo la kuilinda ukweli nayo ni nchi ya kibaguzi kama india
 
Mkuu wewe ni mhindi au msukule wa mhindi/mwarabu? ?wale wanaopandishwagwa Darini kushusha mizigo? Ukizoea ile kazi unakuwa sawa na msukule tu.alafu some tena vizuri bandiko na w aswasi haujaelewa mkuu au shida lugha ya malkia?
wee ni mbumbumbu wa mwisho, unaulizwa swali badala ya kujibu unakashifu? mimi sio mhindi wala muarabu na sifanyi kazi kwa mtu, na sioni sababu ya kumchukia mtu kwa sababu eti ni mhindi au mwarabu, mtu nam judge kutokana na character yake, kama wewe ni mweusi ila unaonekana una ubaguzi kuliko hata wahindi wengine, pole sana, utazidi kuwachukia ila hawaendi popote, watazidi kuja hapa bongo na kutawala watu wasio na akili kama wewe
 
Hapo kufuga nyuki nakukatalia mbona Mzee wa Hakuna namna anafuga kisasa zaidi!
 
South Africa je inayowabagua hata waafrika wenzao nao wangewekwa kwenye world wonders
 
Sheikh Mimi sio mbaguzi lakini naogopa kwenda Arabuni nasikia saudia na emirati hati wahindi wanadeki vyoo?kweli waarabu ni viboko
Mpendwa I R Mwanaume haogopi !! Mwanaume haogopi kazi wala hachagui kazi !! Mwanaume Hupambana na maisha popote !!
FYI, Na kwa haki zote za aliyeumba Dunia na mbingu zake nikuambie haya ya kweli :- Huko Arabuni kuna idadi kubwa sana sana ya wageni yaani sii chini ya milioni 40 !! Na wageni hao wapo waliyoshika posts za wazawaa na wapo wenye kujishughulisha kibiashara na kiufundi (Labour force/mechanics/eLECTRSHEN,NK NK,NK) NA WOTE HAO VIPATO VYAO HAWAKATWI KODI fEDHA ZAO WOTE NI HURU WARUHUSIWA KUTUMA POPOTE BILA MAKATO YA KODI AU KIWANGO !!
MABILIONI YA DOLA HUSAFIRISHWA NJE.... Muhumu ya yote hakuna kushurutishwa kazi kabla ya makubalioano (mikataba inahukumu hatma ya mfanyakazi)
Sasa uliyoyasikia wewe na ukayaamini basi kaa nazo... Huko wapo wenye kuchakarikia masilahi yao !!
Naweza kupa takwimu za idadi ya watu kwa kila TAIFA waliohemea Uarabuni.!!!!!

Wee angalia na okoa maisha ya ALBINO nchini.. wanahitaji kulindwa !!!
 
hata yule mama marehemu wa bunge la katiba alikuwa anawakilisha mawazo ya watanzania walio wengi
Muulize,kwan Trump wakat anaongea alisema anawakilisha mawazo ya wa US wote?
 
Hapo kufuga nyuki nakukatalia mbona Mzee wa Hakuna namna anafuga kisasa zaidi!
hapo kwenye kufuga nyuki nimetoa tu mfano mkuu, point yangu ni kuwa waafrica wachache sana wanaweza kufanya project za kisasa ambazo zipo organized na efficient,
huyo mzee wa hakuna namna ni mojawapo ya hao wachache sana na ukicheki unaweza ukakuta hata hiyo project inasimamiwa na wazungu au wahindi kwenye vile vitengo vinavyohitaji utaalamu
 

Samahani kumbe hufanyi kazi kwa mtu ndio maana hujakumbana na ubaguzi wa mhindi hata hivo tunaposema wahindi ni wabaguzi sio100%wapo wachache wana unafuu lakini kikubwa misingi ya Taifa lao na utamaduni wao unejengeka kwenye ubaguzi uliohalalishwa na imani yao unaweza ukatafuta zaidi vyanzo vya habari nina imani mitaani unaona kwanini wahindi hawajichanganyia na races zingine ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…