donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ukishavurugwa na fisiemu akili ya mazoezi itakuwepo ?Mazoezi ni muhim sana japo hatuyapi kipaumbele...
Kupanga ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazoezi ni muhim sana japo hatuyapi kipaumbele...
Kupanga ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huo ni uchochezi mkuuUkishavurugwa na fisiemu akili ya mazoezi itakuwepo ?
Akili hata haiwezi kuwepo aiseee!!!Ukishavurugwa na fisiemu akili ya mazoezi itakuwepo ?
Kweli japo na ulaji uwe mzuri pia. Sababu mazoezi pekee huku mtu anakula kupita kiasi ni sawa na bure tu.Mazoezi ni muhim sana japo hatuyapi kipaumbele...
Kupanga ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂Ukishavurugwa na fisiemu akili ya mazoezi itakuwepo ?
Vitambi ni urithi wetu waafrika. Angalia prominent figures kama kina marehemu mobutu seseko kuku wa zabanga, kigole wa kilimatende, mkama rumanyika, nyungu ya mawe, mwanamutapa,etc.Akili hata haiwezi kuwepo aiseee!!!
Ndio maana si wake wala waume wote tuna vitambi. [emoji28]
Wamejua kunitia wivu. Daah.
Na mie nianzage kwa kweli. [emoji85]
Kweli japo na ulaji uwe mzuri pia. Sababu mazoezi pekee huku mtu anakula kupita kiasi ni sawa na bure tu.
Familia imekaa kitemi sana... Kama ni huku kwetu uswazi wangekoma.. Hakuna cha mwajuma ndala ndefu wala cha asha ngedere
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo kufanya mazoezi ni sawa na kupoteza muda?Vitambi ni urithi wetu waafrika. Angalia prominent figures kama kina marehemu mobutu seseko kuku wa zabanga, kigole wa kilimatende, mkama rumanyika, nyungu ya mawe, mwanamutapa,etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yabidi nikaze ndugu kama usemavyo. 😀
Hapo inakuwa sawa na bure tu. Na ndio wengi wetu tupo hivyo.Unapiga tizi halafu ukitoka unaoga unaenda kula mbuzi choma (tena mbavu) na castle lite
Sent using Jamii Forums mobile app