Three exploration companies strike more oil in Turkana.

Huwa siamini news za Kenya kwenye oil n gas. Nangoja oil n gas appraisal report. As far as I know Kenya oil reserves r 750 mln barrels of non recovable waxy oil.
 
Hayo mafuta yatawasaidia wakenya au yatakua yaleyale ya huku TZ na swala la gesi!?!?
 
Mbona kuna gesi TZ na hakuna mafuta? Ama hayajatafutwa vizuri, hivi vitu huenda pamoja
Hapana ni jambo ambalo limekuzwa tu mtaani. Katika jiolojia ya kufanyika kwa mafuta au gesi kuna vitu viwili gas window na oil window, hivi vyote hutokea katika hali tofauti za temperature and pressure. Hivyo si lazima penye gesi pawe na mafuta ila penye mafuta ni lazima pawepo na gesi na mpangilio katika reservoir unaanza na maji, mafuta na mwisho gesi kutokana na properties zake.
 
Mbona kuna gesi TZ na hakuna mafuta? Ama hayajatafutwa vizuri, hivi vitu huenda pamoja
Technically mafuta yapo Tanzania ( its a matter of time to discover). The same geological areas Uganda and Kenya found oil applies to Kilosa basin as well. According to Swala Energy, exploration well is expected to be drilled this year. Stay tuned
 
Technically mafuta yapo Tanzania ( its a matter of time to discover). The same geological areas Uganda and Kenya found oil applies to Kilosa basin as well. According to Swala Energy, exploration well is expected to be drilled this year. Stay tuned[/QUOTE
I agree, its possible that there is oil especially on your coastline na border ya Uganda
 
Back
Top Bottom