Poa.habari yakoMambo mrembo..?
Nzuri tu mpenzi.. vipi alichoandika mwekamada ukitendewa wewe utafanya maamuzi gani..??Poa.habari yako
😳😳😳😳😳😳😳Nzuri tu mpenzi.. vipi alichoandika mwekamada ukitendewa wewe utafanya maamuzi gani..??
Sawa mpenzi ila.. ila isiwe ile ya nguvu maana nawe mtata..😅😳😳😳😳😳😳😳
Nitajua cha kufanya nikifikwa na hiyo hali
Kama hutaki utata basi remove that mpenzi o yourz now ndipo tuendelee na mjadalaSawa mpenzi ila.. ila isiwe ile ya nguvu maana nawe mtata..😅
Hatari sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukiona mwanamke anatumia nguvu sana kumuomba msamaha mumewe jua kuna tatizo mahali kwenyw masuala ya chumbani...!!Hili bango nalinyanyua kwa mikono miwili..[emoji23]
🏃🏃Kama hutaki utata basi remove that mpenzi o yourz now ndipo tuendelee na mjadala
,Maana macho yalikuwa yamenitoka kweli kweli hapa 🙄 🙄Kama hutaki utata basi remove that mpenzi o yourz now ndipo tuendelee na mjadala
Unafikiri nimesahau.toa hiyo mpenzi plz
Macho yamekutoka kwa sababu zipiAfadhali
,Maana macho yalikuwa yamenitoka kweli kweli hapa 🙄 🙄
Tatizo umetafsiri vibaya namaanisha mpenzi memba mwenzangu wa humu take it easy.. usije nitoa kihoro..😅Unafikiri nimesahau.toa hiyo mpenzi plz
Hilo jina ulilokemea asikuite,Maana wanasemaga penye mapenzi ya dhati basi wivu huwa pacha wake,nilikuwa naumia asante umenipa afadhaliMacho yamekutoka kwa sababu zipi
Okay nimefuta hilo neno mpenzi kuanzia sasa sikuiti tena mpenzi.
We nae utakuwa na matatizo aise si bure.unafikiri nimemwambia asiniite mpenzi ili kukufurahisha wewe..❌Hilo jina ulilokemea asikuite,Maana wanasemaga penye mapenzi ya dhati basi wivu huwa pacha wake,nilikuwa naumia asante umenipa afadhali
Bravo.Okay nimefuta hilo neno mpenzi kuanzia sasa sikuiti tena mpenzi.
Hahahah acha hizo bibie,najua hukumwambia kwa ajili yangu,ila umezisaidia hisia zangu,hakuna ubaya mamiiWe nae utakuwa na matatizo aise si bure.unafikiri nimemwambia asiniite mpenzi ili kukufurahisha wewe..❌
Basi tu..😅Bravo.
Tunaweza endelea na mjadala sasa🥂🥂