Nipo sana dear..........napita kimya kimya mno........
Lady doctor na Arushaone nawamiss sana
Dah! Em mkumbuke na umuite yule unayedhani alikuwa mtoaji mzuri wa nyuzi na hivi sasa amepotea haonekani humu,iwe kwa wingi,yenye mafunzo,burudani,majungu n.k hasa MMU........., Binafsi nimemmis Mshinga na nyuzi zake nyiiingi bandika bandua mana server za MMU zilikuwa hazipumui afu hajali wala nini ili mradi ujumbe mumeupata,sijui yupo wapi?? Nakumbuka mara ya mwisho tulizinguana kule Elimuni haagh si akanihamishia hasira MMU weee!! Ilikuwa shiidaa!Ha ha ha ila tulimalizana kikubwa! Mshinga rudi bana wadau tumekumiss!!!............................haya tajeni na wenu........
Ha ha ha akutajie best
Au anamaaanisha..........x.....
Daughter usijali, majukumu tu ila tutakuwa pamoja tena soon.
I real miss you so much my wife @chos
Najua unanimiss sana kuliko mtu yeyote ila nisamehe tu kipenzi....dunia imebadili speed ya kuzunguka kwa sasa so namimi nimekua busy na mambo yetu yaleeeeeeee....
Nikipata muda nitarudi ili namimi nienjoy na jamaa zangu akina Mr Rocky na wote.
Pokeeni salamu nyingi sana toka kwa mzee mwenzangu Bishanga ....tukikamilisha maisha bora kwa kila mtanzania tutarudi tena...!
Take care
Love you so much mpenzi!
Cc Arushaone and Lady doctor
Mimi mbona hujaniulizia?
Mie nakumisssssss....... hadi najing'ata. Agrrrr....
....tupo tunalea Familia
.....tutarudi tunalea familia kwanzaNipo sana dear..........napita kimya kimya mno........
Love you tooooo beibeeeee!Tupo pamoja
Love u..mwaaaah
Mhhhhh.........Aiseeeeeeeeee :angry:Ooh my...i miss you
Mwaaaaaaaaaaaaah ya shavu
Mhhhhh.........Aiseeeeeeeeee :angry:
:angry:
:angry:
:angry:
:angry:
:angry::angry::angry::angry::angry:
:angry: :angry:
:angry: :angry:
:angry::angry::angry::angry::angry: